Members wa hili jukwaa punguzeni 'Uchawi'

Mkuu Jestina, kama huo ushahidi haukupatikana , na si rahisi kuutoa, acha nidandie hiyo treni nisije nikakosa usafiri kabisa .

Hahahaaaaaaa mkuu umenichekesha ujue,sie tulikuwa tunasubiri tuone mambo....hakyanani kuna watu wana vituko humu......lol
 
SAMAHANI: Toka uzi uanzishwe washakamatwa wachawi wangapi tafadhali?
 
Kuna huyu dinazarde ndio mchawi mwenyewe alikamatwa na mkono wa albino,kisa kumuharibia ally kiba.
 
Sawa, hata mimi ni mmojawapo wa walioanza kudhani wewe ni FA maana kuna avator ulikuwa umeweka kabla ya hii, ilikuwa picha ya FA, kumbe we wa Ungonini bana, nami nimehamia huko huko Songea kikazi, tutafutane jamaa. Tutakuwa tunawasoma wachawi kwenye radar live from Songea.
 


Hii ni avatar tu!! Nitakucheck mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…