Bukwabi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 3,352
- 1,148
Ila wewe Deo si ndio mwana FA,asiyekujua nani lol
Hiviiii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe Deo si ndio mwana FA,asiyekujua nani lol
Huo ushahidi wa uchawi! ??
Hiviiii!
Mkuu unadandia treni kwa mbele...
Mkuu Jestina, kama huo ushahidi haukupatikana , na si rahisi kuutoa, acha nidandie hiyo treni nisije nikakosa usafiri kabisa .
Hawajitokezi humu!!SAMAHANI: Toka uzi uanzishwe washakamatwa wachawi wangapi tafadhali?
Hawajitokezi humu!!
Nenda kwenye Uzi wa Millard wa nakuja, wanapotea
Wapo wawili kwenye page ya mwisho.Hahahah 'em niende aisee naweza nikawapata wawili watatu.
Wapo wawili kwenye page ya mwisho.
Wepi mkuu?Dc,
Namtumbo.
Ulishamaliza na wale bodaboda..??
Wapo wawili kwenye page ya mwisho.
Kweli Uchawi upo. Nimeshuhudia live.
SAMAHANI: Toka uzi uanzishwe washakamatwa wachawi wangapi tafadhali?
Sawa, hata mimi ni mmojawapo wa walioanza kudhani wewe ni FA maana kuna avator ulikuwa umeweka kabla ya hii, ilikuwa picha ya FA, kumbe we wa Ungonini bana, nami nimehamia huko huko Songea kikazi, tutafutane jamaa. Tutakuwa tunawasoma wachawi kwenye radar live from Songea.