Aya sasa nikisema watanzania msi clarify kabila fula eti lina tabia flan mnabisha! Mtu kua na tabia flani ni uniqueness au inborn tendency,, nikiwa namanisha hiviiii sio kila msukuma ni mshamba, bali wapo wengi wajanja, wapenda sifa, waroho, wachawi etc,, ila pia sio kila muha ni mbishi, sio kila mchaga ni.... Hivyo yaniii, hivyo basi naomba ni declare kwamba si kila MUHAYA anapenda misifa,, mfano sasa hapa Jf hili swala nimeliona sijui tu generelaze kwamba wote ni wahaya hapa [emoji55][emoji55] sijui wenzangu ninyi mnaonaje!!!
Mawazoyangu lkn
Sent using
Jamii Forums mobile app