Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Mkuu sikukuita kwangu unichunguze
 
Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
Wengi wao wameajiriwa mkuu. Wengine wako kazini hapa! Shauri yako!
 
Hii yote inatokana na kuchelewa kwetu kumiliki vitu hivi
Nguo
Nyumba
Usafiri aina zote
Elimu

Afrika tumeanza kuvaa na kufaidi luxury life 1970s
Huwezi linganisha na mbele ambako walianza toka karne ya 16 hasa 1750

Wazungu wametuweka kwenye kundi LA ulimwengu wa tatu
Ulimwengu wa misaada
Viongozi wenyewe ndo malimbukeni kupita wananchi wao wakipata madaraka wanakuwa more extravagant
More foolish arogant

MTU mweusi kujichukua mboga mia na ushua ushua mwingi hizo ndo impacts zenyewe

Mfano baadhi ya makabila yaliwahi kuiona elimu mapema enzi za mkoloni
Sasa Leo wanaitwa ishomile family
Lakini hiyo elimu ingekuwa sawa maeneo yote hata ishomile family wangetoka kurya people wegi tu

Waha na wasukuma wali provide cheap labour sasa Leo wanaitwa wachapa kazi

Anyway muda utaamua tutasettle tu

Ila tupigane kwanza akili zitukae sawa
 
aisee!
 
Wengine kila thread wanapost kwa laptop,
yaani hawanaga simu za efu 50 hao haha.
 
Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.

WanaJF Bwana!
wakati robotatu yetu tupo vijiweni😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom