Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.

WanaJF Bwana!

Hizo ndio sababu zinazoifanya JF iwe stress free zone, kwa upande wangu lakini
 
Kikohozi jaman namuona ndugu yangu limoyo limemdondokea kwa Tantaw mficha maradhi kifo humuumbua chikira umenifurahisha sana kazi kwake sasa Tantaw
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Mambo ya December haya...
marangu3-jpg.118681

View attachment 592972
View attachment 592974

CC miss chagga
Nimeshajiandaa tukutane kwa kombe tu babu
 
Teh 😀😀😀 kasoro mimi tu ndo sijasoma, sina gari , sina nyumba, sina mke , ila nna akili sana.😵
 
Back
Top Bottom