Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

Maisha ya mtandaoni ndivyo yalivyo..

Humu kuna watu wanaweza kukufanya ujiulize mara kadhaa kama wewe unaishi au ni msindikizaji tu..
 
Kho kho kho
Sijapata bado natafuta, ila nampenda sana Tantaw lakini yeye hajui kama namzimia,hahahahahaahh
Hahahhahahahaha NAHUJA sema hakyamungu!! Hahahahaa!!
Woooooooooozaaaaaaaa
Hahahahahahahaha funguka mama shauri yako, utamkosa mwana na maji ya moto!!!!! Hahahahahaha!!!!
hahaahahhah, kumbe upo. habari za Ijumaa. hahahaahah. si unakumbuka Shunie ndie aliyenishawishi kukufolo kuleeeeeeeeeeeeeeeee
Nipo majukumuu tu ndio yanabana, Ijumaa ipo salama, sijui kwa upande wako!? Hahahahahahaha Shunie kumbe anaushawishi kama wa mange kimambi!! Kuleee sijaingia siku za karibuni, ngoja nikapachungulie kwanza, hahahahahahaha!!
 
100%wote ni fake......
That's y tuna-fake majina..Ni watu wachache sanaa waliokuwa real ktk ulimwengu wa Jf na hao ndo wanatumia majina Yao Original..Na wengi wao wanaotumia majina halisi wana maslahi Yao binafsi either siasa au biashara n.k
Ila kwa utawala huuuu wa sasa ni bora tuzidi kufake tu maana wakina Bashite hawalali wakitutafuta tunaowakosoaaa
 
Nikikwambia namiliki wake wanne ujue ni kweli, sina swaga za uongo.
 
Watu tuna ghadhabu ya maisha, yamesha tugalagaza. Acha tu turidhishe nafsi zetu kwa kujipandisha chati! Hakuna namna, tuvumiliane tu! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom