Members wa JF bwana!!!!

Members wa JF bwana!!!!

Mambo ya December haya...
marangu3-jpg.118681

View attachment 592972
View attachment 592974

CC miss chagga
Mnipitie bhanaa.... Nikaemo hata siku tatu tuu jamanii!!!!
 
Dah yan hauwezi amin mda huu naingia jf nakutana na post hii alafu apa nabuku tu mfukon kisha napitia pitia comment nakutana na ile ya miss natafuta akimuelezea super rich asiye na bwebwe naendelea kusoma maelezo nakutana na maneno ya mwisho ya miss natafuta naanza kufikilia namna ya kuwasiliana naye maana dah ali sio poa kwangu na yey kasma ana chimbo na kama alivyomalizia Maisha ya umu jf hayana uhalisia

Nimeandika nkiwa nimechoka Miss Natafuta [HASHTAG]#missnatafuta[/HASHTAG]
 
Yaani humu bhanaa kama huna moyoo utajuta... Huwa najuaga mie mwenyewe ndo nagombania matatu!!! Maana humu kila mtu anagari hao wa Chiini saaana wapo wenye Meli humuu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.

WanaJF Bwana!
Kama hivi [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] au [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]


Screenshot_2017-09-21-21-27-00.jpg



Screenshot_2017-09-21-21-27-44.jpg



Screenshot_2017-09-21-21-24-30.jpg
 
nilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Mmmmmh.

Chai imezidi sukari.

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Me niko hapa sina gari, sina nyumba, sina pesa, sijasoma nimepanga uswazi.
 
Back
Top Bottom