Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! Hamna noma mkuu!Samahani wakuu mimi nimemtania tu
May be lakini hawawezi kuwa wote
Duh upo mzee, kitambo sanaTupo wa jamboforums!
Mizambwa inaniuma sana, hii kauli mbiu yako mpaka leo sijajua maana yakeEnzi za JAMBO FORUMS kulikuwa Na muda motomoto. Ilikuwa inakata raha sana.
Nakumbuka UKUMBI ambao binafsi nilikuambia naenda sana kidunia Na kuchangia ni wa LUGHA, PALE KUNA SEHEME YA MASHAIRI.
ilikuwa mtu ukiweza shairi unaniriwadha kwa shairi. Na kulikuwa Na watubu mahiri wa MASHAIRI.
Lakini wajanja walipokuja ku-hijack page Na ndo mwisho wa JAMBO FORUMS.
Leo Kamili Forums ipi vizuri lakini bado HAIWEZI kupata jambo forums. Hii imevamiwa Na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi Na vyama VYA siasa. Ndio maana JF inatakiwa macho sana Na wataalamu wa kisiasa.
Kwa wale members wa JAMBO FORUM, kule mm binafsi nilikuwa na-log in as MIZAMBWA, sijabadilisha id yangu. Lakini members wengine siwaoni humu bila Shaka wamebadilisha Id.
Mi nimeunga humo humoSie tuliojiunga mwaka 2008 turuhusiwa kuchangia au mpk ifike 2019?
Kila la kheri wakubwa zetu. Tunaithamini michango yenu ya enzi hizo
Wengi wapo foleni wanakula methadon ngoja watoke kwanza
DuWahenga tupo njoo tuyajenge