Enzi za JAMBO FORUMS kulikuwa Na muda motomoto. Ilikuwa inakata raha sana.
Nakumbuka UKUMBI ambao binafsi nilikuambia naenda sana kidunia Na kuchangia ni wa LUGHA, PALE KUNA SEHEME YA MASHAIRI.
ilikuwa mtu ukiweza shairi unaniriwadha kwa shairi. Na kulikuwa Na watubu mahiri wa MASHAIRI.
Lakini wajanja walipokuja ku-hijack page Na ndo mwisho wa JAMBO FORUMS.
Leo Kamili Forums ipi vizuri lakini bado HAIWEZI kupata jambo forums. Hii imevamiwa Na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi Na vyama VYA siasa. Ndio maana JF inatakiwa macho sana Na wataalamu wa kisiasa.
Kwa wale members wa JAMBO FORUM, kule mm binafsi nilikuwa na-log in as MIZAMBWA, sijabadilisha id yangu. Lakini members wengine siwaoni humu bila Shaka wamebadilisha Id.