Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

callmeGhost

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
278
Reaction score
831
JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.


-callmeGhost
 
Tecno nayo ni simu,waacheni jamani!Yaani mnataka watu watumie simu ya aina moja kwani hapa cuba

May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…