barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ishu sio signature bali ni kama unatumia app ya jamiiforums.JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
Ebu niambie mimi natumia simu gani? Nina signature pia.