Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

JamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.

Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]

Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .

Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.


-callmeGhost
Ishu sio signature bali ni kama unatumia app ya jamiiforums.
Ebu niambie mimi natumia simu gani? Nina signature pia.
 
Thank you !

Sent from my Vodafone 785 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app

hahahaa naona una kisu kikali mkuu
 
Simu ni simu kikubwa kupata mahitaji husika kwa wakati wa techno wa samsung wa iphone wote tunaingia jf,twitter mpaka whatsapp shida iko wapi?

Power him who power exerts
Tofauti ipo acha kuongea maneno ya mkosaji. Wewe unasimu ina Ram ya 512mb mwenzio ana ya 4gb. Unadhani mnaweza lingana?

Sema hivi "Kila mbuzi anakula kwa urwfu wa kamba yake."

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi natumia tecno

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
hahaha tuone aibu kwani tumeiba jaman tecno zetu ......mtu chake lol
 
Kutumia simu ya brandi fulani sio kwamba huna hela au maisha yake ni chini wala usije ukafikiri kutumia iPhone ndio kuwa unayo pesa, huo ni mtazamo hasi wa watanzania na fikra finyu. Pengine ni maamuzi ya mtu binafsi kupenda kutumia simu fulani.
word napenda tecno coz inakaa na chaji masaaa 16 kuanzia asubuhi hasusani kwa mtu kama mimi ambae shughuli zangu ziko nje ya mji plus sina access ya umeme mda wote
 
Lumumbaaaa katika ubora wenu!!!!!!!
Naona kwa sasa mmebuni mbinu mpya ya ku track wakosoaji kwa kuwashawishi waweke signature zao(elimination method)........
Maana mnajua matoleo ya tecno ni eidha voda au tigo,na zimesajiliwa kikamilifu,mkimjua ni wa voda,mnawafanyia kama mlivo mfanyia Lema na sms za urafiki(shogaake)
 
Back
Top Bottom