Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Usijali mamy Kuna hizo wanaita phantom makubwa kumbe kopo tu[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ucnichekeshe yaani nina frnd wangu umwambii kitu kuhsu tecno anavyonishawish cjahi kumuelewa kabsa!!na zipo zenye sura ya kambare!![emoji126][emoji126] [emoji45]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ucnichekeshe yaani nina frnd wangu umwambii kitu kuhsu tecno anavyonishawish cjahi kumuelewa kabsa!!na zipo zenye sura ya kambare!![emoji126][emoji126] [emoji45]
Uwiiiii usijaribu hilo janga[emoji6][emoji6]
 
Ha haaaaa nakugawa bureee[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna simu za tecno zina bei kubwa kuliko hizo zenye brand kubwa kama Samsung, sasa sijui kwa nini mtu unajiona una wadhifa sanaaa kisa tu hutumii tecno, lakini mmewahi jiuliza tecno ndio brand ya pili Afrika kwa mauzo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
No research, no right to speak

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Yaani mimi sidhani kama nitakja nunua simu tofauti na techno, coze nazipenda , zinakaa na chaji , matoleo yangu ninayobadilisha kila mwaka ni techno tu.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app



Uwiii uwiii uwiiiiiii!!! ha ha ha Linamo
Wagiftishee wagiftishee wape wafurahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…