mama mzazi mchukulie iphone,
sio umchukulie tochi,
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Mimi huwa nawambia wachague wenyewe, simpelekei mtu kitu kwa kumchagulia, mwenye kuchagua SONY Experia sawa, mwenye Samsung sawa, mwenye IPhone sawa, nawapelekea tu, au wakija huku nawanunulia nawapa wanarudi nazo huko.
Ni vitu vya kawaida tu, given kwamba mtu anakuwa na uwezo wa kuzinunua hizo kumi kwa mpigo na kuzigawa kwa wanazotaka bila kufanya biashara.
Nimerudi bongo airport na mabegi yamejaa zawadi nawaambia customs hizi zawadi wamekataa, wamesema wewe lazima utakuwa unafanya biashara. Zawadi haziwezi kuwa nyingi hivi.Nawaambia sasa nimekaa Marekjani nyundo kumi, passport hii hapa, mnataka nije kitoto? Wamekataa. Sijauza hata kitu kimoja. Kuja kufanya hesabu likizonzimapamojana airfare zawadi etc imeni cost karibu $20,000.
Watu sasa hivi tunaongelea real estate in major cities of the world.
Halafu unakutana na mtu anaanza habari za kuringishiana simu.
Kachelewa sana maisha haya huyu.
Watu tunatafuta satellite phone yeye anaongea habari za Samsung/Iphone/Tecno ?
Watu tunaangalia habari za deal za kiwanda cha simu, yeye bado anashobokea simu?