Members wengi wa MMU ni vijana wa facebook, huwezi kuwaona kwenye mijadala mizito

Mkuu si ungeunganisha tu na ule uzi mwingine
 
kuanzia leo tutaanza kulogana ili tabia kama ya mtoa mada itokomee. we unakuja MMU unategemea kukutana na mada za uchaguzi ama.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…