Members wengi wa MMU ni vijana wa facebook, huwezi kuwaona kwenye mijadala mizito

Mtusamehe ndio ubongo wetu uliko ishia...
 
Sisi wengine tumechagua mitandao ya kijamii kuwa sehemu ya kurefresh mind. Maana tunayofanya siku nzima yanatumia akilia kubwa.
 
Yaan sawa na kusema Jukwaa la MMU ni tawi la facebook. MMU members wanapenda sana mambo ya pampunchi!
Hili nalo ni tatizo la kukosa kujitambua. We unakulaje muhogo halafu unataka ladha yake iwe kama ya boga? Kila jukwaa lina utamaduni wake mkuu ndio maana mods hufanya kazi ya ziada ya kuiamishia nyuzi kwenye majukwaa yanayoendana na maudhui ya nyuzi husika,
 
Msaada, hivi MMU ni jukwaa gani? Naombeni kirefu chake. Tangu nimejiunga JF sijawahi jua hili neno maana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…