hey wadau mko pouwaa? new member in the house of great thinkers! naipenda jf xanaaa na matarajio yangu ni kuwa gold member wa jf,kiukwel inasaidia kupata info za fasta na za uhakika though c zote ila zna effect flan hiviii,na 4 further info unaweza ukantafuta kupitia no.0756734797 especially single galz and ladyz cz i hav more thngz 4 u guyz,as usual nakaribisha maoni yenu
hiki ndicho kilichonishinda huko kwenye facebook. vijana wanalugha ya kwaokwao tuu.
Hawa wanafaa kutandikwa bakora maana sasa imekuwa too much....
Kabisa...Inabidi uwafanyie interview kabla ya kuwakaribisha ndani.
hahaaa!! whats your category then??Karibu sana. I love your derby, ila sasa hizo x wenzio huwa hatuelewi manake umri ushasonga.
Kuna single ladiez, mamaz na bibiz? Wote tukutafute?