GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Mwaka 2014 kuna akina mama fulani kutoka Tanzania walikamatwa msumbiji na wakasemekana kwamba ni makachero wa Tanzania..... wenyewe wanawaita "usalama wa Taifa" (informants?)Diplomatic corps imejaa majasusi. Hili linaeleweka dunia nzima.
Ila "jasusi" kwa standard za Tanzania si sawa na za kimataifa.
Membe kasoma shule inayosifika kusomesha majasusi, Johns Hopkins. Programs zao za International Relations ni source kubwa sana ya majasusi. Kuna mtu kwenye familia yangu alisoma hapo, akawa approached na serikali ya Marekani kufanya kazi za ujasusi, akachomoa.
Kwa hivyo ukiunganisha dots Foreign Service, Johns Hopkins utaona "jasusi" is feasible. Ila kwa standards za kibongo "jasusi" ni glorified kachero tu.
He is more like the late Dr. Mahiga - although Dr. Mahiga outshone him by far- than Willy Gamba.
Kwa mionekano yao walikuwa wamejichokea sana, wamejifunga kanga na kaniki. Watu wakaanza kuwakejeli mitandaoni kwamba ati makachero gani wamefubaa namna ile.
Mimi sifahamu viwango vya kachero wa Kitanzania, lakini naamini ni watu wa kawaida sana wasio na utofauti wowote kama ambavyo wanakuzwa na kuonekana ni majitu fulani supernatural na yenye akili nyingi za kutisha.
Si ajabu baadhi yao hawajui hata kuzungumza Kiswahili sanifu (kama magufuli).
Uliposema viwango vya kachero wa Tanzania, nikawakumbuka hao akina mama waliojichokea waliokamatwa msumbiji.
Hawa majasusi uchwara wa Kibongo wanakuzwa sana kwa sababu za kisiasa tu na kutaka kutisha watu kwa kitu ambacho kiuhalisia hakipo.