Meme Kabati amekatwa korodani na mkewe kwakushindwa kumridhisha mkewe tendo la ndoa

Meme Kabati amekatwa korodani na mkewe kwakushindwa kumridhisha mkewe tendo la ndoa

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata siku moja wakati wanapofanya tendo la ndoa.

Tukio hilo limetokea wakiwa nyumbani kwao Igembe, Chifu wa eneo hilo la Ntunene aitwaye Edward Mutalii amesema alipata taarifa na alipofika eneo la tukio alikuta korodani ya Mwanaume huyo ikiwa chini baada ya kuvutwa sana mfuko wa uzazi na Mkewe na kuikata korodani moja.

Polisi wamemkamata Mwanamke huyo na kwa sasa anashikiliwa akisubiri kufikishwa Mahakamani lakini Mwanamke huyo anasisitiza amefanya hivyo kwakuwa kamwe Mumewe hajawahi kumridhisha wakati wa kufanya tendo la ndoa.

images (5).jpeg
 
Huu ni uuwaji na ukatili wa hali ya juu sana.yeye Mwenyewe ana mvuto kiasi gani kwanza hadi ajipe mamlaka ya kuhukumu wengine?

Mijamke ya Kenya ilivyo mibaya vile na kukosa mvuto hiyo appetite na nguvu za kufanya inatoka wapi?

Huyo mume aliona akae na mkewe wasogeze siku, mke akaona ana mamlaka na haki ya kukata korodani za mwenzie kwwli?Sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo za kishetani.
 
Korodani zimekuwa victim, wakati zenyewe haziingii kokote... Zipo tu hapo kwa nje..
 
Back
Top Bottom