MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Thanx this very useful to me too.
If I want to withdraw from company's directorship. Or remove someone else even if she is not willing.
What are procedures?
BRELA-Downloads
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanx this very useful to me too.
If I want to withdraw from company's directorship. Or remove someone else even if she is not willing.
What are procedures?
ungeandika ki inglish pekee ungeeleweka zaidi.
Thanks sana ,umetusave kwa hzo docsNi pm nikutumie draft.
kwa upand wa private company, directors lazima muwe wawili kwenda mbele, pa directors munaweza kuwa wote mulio na share kwenye kampuni au mmoja wenu anaweza akawa anashare 100% akachagua madirector wawili wengine au yeye akawa director na mtu mwingine asiekuwa shareholder akawa director.. .ngoja wengine waje pia watoe ushauri wa kitaalamu zaidi.asante kwa hizo documents. ninasikia sheria inasema lazima ma-director wawe wawili, je hiyo inaamaanisha hata shareholders pia lazima wawe wawili? au ninaweza kumiliki 100% , ma-directors wakawa watendaji tu wasio na hisa?