MEMORANDUM OF UNDERSTANDING/ASSOCIATION

M16_kwaoz

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
231
Reaction score
456
Habari wanajamvi,
Pasipo kupoteza muda, niende kwenye mada;
Naomba kujua kiundani namna ya kuandaa hii Memorandum of understanding na Article of Association,pili naomba kujua endapo inaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili.

NB: nime-google ila sijapata kuelewa vyema,hivyo basi naomba mwenye uelewa anisaidie kwa hili
Natanguliza shukrani.
 
Mara nyingi hizo kazi huwa wanaandaa wanasheria ili kuokoa muda.
Nenda kwenye ofisi ya mwanasheria atakuelekeza na atakufanyia halaf mtaelewana jinsi ya kumlipa.
 
Ni PM mkuu
 
Mara nyingi hizo kazi huwa wanaandaa wanasheria ili kuokoa muda.
Nenda kwenye ofisi ya mwanasheria atakuelekeza na atakufanyia halaf mtaelewana jinsi ya kumlipa.
Aha! Shukrani sana
 
TAHADHARI: Kufungua kampuni ni rahisi sana ila kufunga ni mlolongo mrefu unaohusisha mambo ya kodi
 
Njoo pm nitakufanyia bei sawa na bure Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…