Men Code

Men Code

IMG-20240322-WA0720.jpg
 
Tafuta hela za kutosha
Mtu unashindia mihogo halafu ukamie shoo🤣🤣Si utatapika ulimi?
Code hiyo🚀🚀🚀🚀
Mnajipa shida bure zama zimebadilika bwana mdogo hayo maisha waliishi wazee , wewe tafuta hela , nukia vizuri , kula vizuri , walale akina dada kwa adabu na staha basi utaheshimika kuwa wewe ni mwanaume ila huna hela alafu ujifanye eti ni msolid ni kupoteza mda na kuukimbiza upepo
mambo ya kunukia nukia marashi ndo mwanzo wakutongozwa na mabasha !!

mwanaume unatakiwa unukie kibeberu harufu ya kiume!
Sijui mara harufu ya waridi mara dubai mtaolewa
 
Code hiyo🚀🚀🚀🚀

mambo ya kunukia nukia marashi ndo mwanzo wakutongozwa na mabasha !!

mwanaume unatakiwa unukie kibeberu harufu ya kiume!
Sijui mara harufu ya waridi mara dubai mtaolewa
Nyie mliokuja mjini kusoma ndiyo inabidi mbaki kunukia kibeberu sasa mimi mwenzio kibeberu nakitoa wapi ? Daily niko kwenye hewa ya wapambanaji mjini narudi nyumbani nakoga maji safi hiko kibeberu nakikuta wapi mkuu ?
 
Back
Top Bottom