MEN: Dont play with women's feelings!

mwambie ime-eat kwake....

Ila 'rafiki' yako anajua kuwa kwa Mungu yote yanawezekana? Atubu na kumwomba Mungu nae atamuinua
 

fo sho mdada mtamu, yawezekana kabisa hakuna chochote ambacho mdada kafanya isipokuwa chozi layule dada ni laana tosha.
 
Hilo tatizo liliwapata afiki zangu wawili lakini ni kitambo sana mika ya tisini lakini bado wapo hai na wanagonga ngozi kama kawaida baada ya kupatiwa tiba na bibi mmoja maeneo ya kongowe sijui kama huyu bibi yupo hai pole sanaa jitaidi utashinda.
 
Kweli jamani jamaa anatia huruma sana, nilimshauri akamuombe msamaha huyo dada, bado anajipanga aendeje!!
 

Ameenda kwa hao wataalamu watatu, bado kitu hakistuki
 
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?

Mchina hawezi saidia hapa jamani?
 
Wali mweusi ina maana hata kidogo haisimami? Wali mweusi nipe contact zake ntamsaidia
 
Tayaleeeeee..but so sad,nimeshawahi sikia stori kama hiyo though zinatofautiana kidogooo....aendelee kutafuta sukuhisho na atashinda tuu
 
Kama ni uchawi huu ni mzuri coz unaepusha mambo mengi sana.Ni-inbox namba ya huyo dada nimtafute aniroge angalau mpaka ntakapomaliza kibanda changu.
 
Mkiambiwa mtulie na mmoja mnajifanya hamsikii!
 
Mkiambiwa mtulie na mmoja mnajifanya hamsikii!

Baelezee my love,
Na wewe siku ukitoka tu, nakutengenezea dawa ya kutosinyaa, yaani kitu inakuwa erect 24/7. U r warned!

Mwaaah!
 
Kwa kweli inaumiza sana kuona mtu anakupenda miaka yote iyo alafu unamwacha na kumpotezea mda wake.
 
Nitext no yako privacly ntakwambia cha kufanya na atapona .
 
Sipati taswira huyo jogoo wake asivyowika, mbona anaipata freshi ya shamba!! Eerrr
 
Na wewe mke wangu,unajua kabisa utam unaupata mwenyewe,hofu ya nini?
 
Ni vyema amrudie yule no 1 aliyetoswa ili a-act kama booster
 
Kama ni uchawi huu ni mzuri coz unaepusha mambo mengi sana.Ni-inbox namba ya huyo dada nimtafute aniroge angalau mpaka ntakapomaliza kibanda changu.

Lol, umevunja mbavu zangu jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…