Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Bado wewe!
Yaani kama ulikuwa mawazoni mwangu! LOL
Dawa yake ni kukaminimize tu kadudu kake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wewe!
Pole yake!
Afu unaeza kukuta wala mdada wa watu hajamfanya chochote anajihisi tu!......afu ukishakuwa na woga kwenye tatizo lolote lazima tatizo liongezeke mara dufu......aache woga, asipaniki, aondoe mawazo kuwa kalogwa, aende akawaone wataalamu wa saikolojia kwa msaada na ushauri zaidi!....awaeleze kile anachofikiria watamsaidia kukiondoa!

Mkiambiwa mtulie na mmoja mnajifanya hamsikii!