MEN FITNESS: Barafu changanya maji ?? Inafanyaje kwenye uso

Nikiwa kwenye kilele changu cha kupiga kabumbu tulikuwa tukitoka mazoezini tunazama kwenye mabarafu humo tunakaa kwa dk kadhaa baada ya hapo ukitoka unakuwa mwepesi sana ila hao wa usoni labda wanatafuta mabwana
 
Mwanaume unafanya facial skin care? Unataka uso ung'ae na uwe laini ili uwe unashikwa shikwa sio?
Kuna bro miaka ya nyuma ailiniulizia mafuta mazuri ya kupaka ila viganja vya mikono viwe nyororo sana ... Niliwaza sana sikupata jibu. Alikuwa mwanachuo sijui kwa sasa yupo wapi sijui aliipata kazi! Ni miaka 12 imepita. Maana kwa akili zile ni ngumu sana kisavaivu kitaa
 
Wengine hadi kuogea wanaogea.
Wanasema inasaidia kukaza misuli
Kwenye uso inasaidia kutokukomaa/kuzeeka
So hata mwanamme anaweza kujiwekea usoni ili kukaza misuli ya uso

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…