MEN FITNESS: Barafu changanya maji ?? Inafanyaje kwenye uso

MEN FITNESS: Barafu changanya maji ?? Inafanyaje kwenye uso

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu

“Maji ukichanganya kwenye chenga za barafu afu ukawa unaloweka uso umo kwa dk kadhaa na kutoa “

Hii inasaidia nn? naona watu wa fitness wengi kutoka nje wanafanya

Watalaam wa skin na fitness tupeni nondo
6254E29D-7748-4AC9-B39C-9350BD76AA67.jpeg
 
Nikiwa kwenye kilele changu cha kupiga kabumbu tulikuwa tukitoka mazoezini tunazama kwenye mabarafu humo tunakaa kwa dk kadhaa baada ya hapo ukitoka unakuwa mwepesi sana ila hao wa usoni labda wanatafuta mabwana
 
Mwanaume unafanya facial skin care? Unataka uso ung'ae na uwe laini ili uwe unashikwa shikwa sio?
Kuna bro miaka ya nyuma ailiniulizia mafuta mazuri ya kupaka ila viganja vya mikono viwe nyororo sana ... Niliwaza sana sikupata jibu. Alikuwa mwanachuo sijui kwa sasa yupo wapi sijui aliipata kazi! Ni miaka 12 imepita. Maana kwa akili zile ni ngumu sana kisavaivu kitaa
 
Wengine hadi kuogea wanaogea.
Wanasema inasaidia kukaza misuli
Kwenye uso inasaidia kutokukomaa/kuzeeka
So hata mwanamme anaweza kujiwekea usoni ili kukaza misuli ya uso

 
Back
Top Bottom