Men here is your lesson!

Men here is your lesson!

Siyo kila unachokiona kwenye mitandao ni cha kujaribu. Vinginevyo yanaweza kukuta makubwa. Kama ulikuwa na kibamia ukabaki nukta kisa mitandao.
 
Mtu aliikimbia Science ndogo tu ile ya O -level (Biology, Chemistry, Physics) muda huu anaamua kuwa mtaalamu wa masuala ya Reproduction kwa binadamu! Aisee, huu ujinga wa hali ya juu.

Ungesengese f' lani wa fly over. Heshimuni kada za watu 🤒🤒🤒
 
Back
Top Bottom