Men Men Men

Kama bado kijana unaejitafuta kaa mbali na mwanamke ambae hawezi kumudu hata mahitaji yake au anataka kuishi extravaganza life kwa mategemeo mwanaume awe sponser
Mtu hana kazi anataka kumiliki iphone aebde wavuvi camp mara sijui birthday party....mhm hawa wanaishia kufirwa tuu
 
Ukishaanza kuona msg za hivi,"bebi nikuulize kitu au bebi kuna kitu nataka nikwambie"tafakari na uchukue hatua kabla ya kujibu,maana hapo ujuwe kumekucha...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Wanaume mnapenda vipapa vyetu na sisi tunazipenda pesa zenu.!!
Hamtaki kila mmoja abaki na cha kwake kwann mjitese?? 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…