Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kama bado kijana unaejitafuta kaa mbali na mwanamke ambae hawezi kumudu hata mahitaji yake au anataka kuishi extravaganza life kwa mategemeo mwanaume awe sponser
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wajinga wana madhaifu ya kibinadamu tuuNa hao wake za watu wanaoliwa ni wajinga sana
Mtu hana kazi anataka kumiliki iphone aebde wavuvi camp mara sijui birthday party....mhm hawa wanaishia kufirwa tuuKama bado kijana unaejitafuta kaa mbali na mwanamke ambae hawezi kumudu hata mahitaji yake au anataka kuishi extravaganza life kwa mategemeo mwanaume awe sponser
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahUkishaanza kuona msg za hivi,"bebi nikuulize kitu au bebi kuna kitu nataka nikwambie"tafakari na uchukue hatua kabla ya kujibu,maana hapo ujuwe kumekucha...
Ngoja tupige nyetoWanaume mnapenda vipapa vyetu na sisi tunazipenda pesa zenu.!!
Hamtaki kila mmoja abaki na cha kwake kwann mjitese?? 😹