Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Eti nayo hii ID imepita kabisa katika uhakiki wao.
Ikiendelea kukaa hadi juma3 nabadili jina na kuitwa "Kumar" maana kwa wahindi
ni jina halali na maarufu kabisaaaaaaa.
Nenda kwenye kamusi ya kiswahili sanifu.
Na anapenda kweli juzi alikuja na moja m..b..o.o leo kaja na hii.Eti nayo hii ID imepita kabisa katika uhakiki wao.
Ikiendelea kukaa hadi juma3 nabadili jina na kuitwa "Kumar" maana kwa wahindi
ni jina halali na maarufu kabisaaaaaaa.
Naona una kamusi ya kichina.Ninayo hapa ya TUKI na neno "uboho" ni bone marrow. Acha uongo wako.
Naona una kamusi ya kichina.
Nipe mamlaka inayosema kuwa neno "uboho" ni tusi.
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.Nina uhakika wa asilimia 200 kuwa wewe ndiyo huna kamusi ya Kiswahili sanifu.
Kama unayo, iandike hapa fasili ya hilo neno. Unajua maana ya fasili wewe?
Nina uhakika wa asilimia 200 kuwa wewe ndiyo huna kamusi ya Kiswahili sanifu.
Kama unayo, iandike hapa fasili ya hilo neno. Unajua maana ya fasili wewe?
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.

Neno Uboho lipo kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyotengenezwa na TUKI. Na katika fasili yake hawalielezei hilo neno kama tusi.
Tatizo lililopo hapa ni ufahamu wenu mdogo sana wa misamiati ya lugha ya Kiswahili.
Kiingereza hamjui. Kiswahili hamjui. Mpo mpo tu kama mapopo. Aibu.
Asilimia 200 ndio ngapi hiyo?
Watu wa HKL mna matatizo kweli
Ngoja niachane na wewe usije niharibia siku yangu bure, kilichokufanya kubadili ID tumeshakifahamu.Uboho utaumaje? Uboho una seli neva?
Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama ujinga. Na kwa taarifa yako, neno 'ujinga' siyo tusi vile vile.
Panua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili.
Ukitaka kujua neno ni zuri au baya angalia kama unaweza
kulitamka mbele ya mzazi wako wa kike.................
Ukiweza baaaaasi,neno hilo limepita mtihani wa maadili mema.
Hilo jina halina ubaya wowote. Halina maana kama mnayoidhania.
Jifunzeni Kiswahili!!!
Ngoja niachane na wewe usije niharibia siku yangu bure, kilichokufanya kubadili ID tumeshakifahamu.
Uboho utaumaje? Uboho una seli neva?
Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama ujinga. Na kwa taarifa yako, neno 'ujinga' siyo tusi vile vile.
Panua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili.
Kwani UBOHO ni nini Naima?Sidhani kama my name yangu ina direct relatinship na tatizo langu, au nakosea mrembo