Men only.

Men only.

Eti nayo hii ID imepita kabisa katika uhakiki wao.
Ikiendelea kukaa hadi juma3 nabadili jina na kuitwa "Kumar" maana kwa wahindi
ni jina halali na maarufu kabisaaaaaaa.

Nipe mamlaka inayosema kuwa neno "uboho" ni tusi.
 
Na anapenda kweli juzi alikuja na moja m..b..o.o leo kaja na hii.
 
Nipe mamlaka inayosema kuwa neno "uboho" ni tusi.

Okey,....umesema sio tusi.
Lakini katika serikali ya kichwa chako inabidi uangalie watu wengine watachukulia
vipi jina lako,...ni kama avatar tu sio kwakua mtu kafunika benki kuu na kifuani basi itoshe
kusema hayuko uchi.

Nimesema "KUMAR" ni jina la kihindi.........
Kwa kutumia mamlaka ya kichwa chako unaweza litumia jina hilo hapa?
Achilia mbali wengine huwa wanashindwa kulisoma in public.
 
Nina uhakika wa asilimia 200 kuwa wewe ndiyo huna kamusi ya Kiswahili sanifu.

Kama unayo, iandike hapa fasili ya hilo neno. Unajua maana ya fasili wewe?
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.
 
Asilimia 200 ndio ngapi hiyo?
Watu wa HKL mna matatizo kweli
 
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.

Yeah,easy................
Amwambie baba au mama yake kwamba "Nina matatizo kwenye UBOHO" uone kama discussion
itakuwa ndefu ingawa unaumwa kweli.
 
Mie nakuomba uende kwa baba na mama yako alafu ukifika uwaambie uboho unakuuma, then wakishika kichwa na kutaka kukuachia radhi, ndipo uwafafanulie kuwa ni mfupa wa mguu ndio unaouma. kama hawajakutimua.

Uboho utaumaje? Uboho una seli neva?

Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama ujinga. Na kwa taarifa yako, neno 'ujinga' siyo tusi vile vile.

Panua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili.
 
Neno Uboho lipo kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyotengenezwa na TUKI. Na katika fasili yake hawalielezei hilo neno kama tusi.
Tatizo lililopo hapa ni ufahamu wenu mdogo sana wa misamiati ya lugha ya Kiswahili.
Kiingereza hamjui. Kiswahili hamjui. Mpo mpo tu kama mapopo. Aibu.

Ukitaka kujua neno ni zuri au baya angalia kama unaweza
kulitamka mbele ya mzazi wako wa kike.................
Ukiweza baaaaasi,neno hilo limepita mtihani wa maadili mema.
 
Uboho utaumaje? Uboho una seli neva?

Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama ujinga. Na kwa taarifa yako, neno 'ujinga' siyo tusi vile vile.

Panua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili.
Ngoja niachane na wewe usije niharibia siku yangu bure, kilichokufanya kubadili ID tumeshakifahamu.

Bahati nzuri nimebahatika kuwa na wazazi wapenda lugha na wanaozijua lugha za Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha wa juu sana.

Hata tafsiri ya 'bone marrow' kwa Kiswahili waliniambia wao baada ya ndugu yetu mmoja kugundulika ana saratani ya uboho miaka michache iliyopita.
 
Ngoja niachane na wewe usije niharibia siku yangu bure, kilichokufanya kubadili ID tumeshakifahamu.

Hoja umeshindwa umebaki kuhisi hisi tu eti nimebadili ID.

Kanunue kamusi ya Kiswahili sanifu. Kama huna hela omba utapewa.
 
Ilo jina lako mh!!!.... mi nadhani ni sababu tosha ya kutodumu na wanawake.

Kwani UBOHO ni nini Naima?Sidhani kama my name yangu ina direct relatinship na tatizo langu, au nakosea mrembo
 
Uboho utaumaje? Uboho una seli neva?

Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama ujinga. Na kwa taarifa yako, neno 'ujinga' siyo tusi vile vile.

Panua wigo wa msamiati wako wa Kiswahili.

Sawa,unauma hauumi lakini unaweza kuwa na tatizo huko.
Kawaambie wazazi wako kwamba una tatizo kwenye UBOHO uone reaction yake.........
 
Kwani UBOHO ni nini Naima?Sidhani kama my name yangu ina direct relatinship na tatizo langu, au nakosea mrembo

Ohooo,control yourself naona umeshaanza kum nyemelea na huyo.
 
Back
Top Bottom