Mimi ni mjasiliamali, nimepita tu hapa nauza boxer, sijui mtapenda niwaonyeshe?
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?
Mbona nahisi kama we Walimweusi ni female...wanaume huwa hatuulizi jukwaani maswali kama hayo yenye topic 'Me only'!!!Kweli jamani tuwe wakweli!Miaka 3 ni sawa na siku 1095. Wakuu ivi kweli inawezekana hii kitu, na kila siku ukipita kitaa unaona vitu tofauti, dah!Mi nadhani its not possible.
MBONA mapadri na mabruda wanakaa kwa lifetime yote bila kufanya!
Miaka 3 mbona michache sana hiyo....
hivi isaac newton alikuwaje?