Men only!!

Men only!!

mi sikuwa najua hayo makitu aisee zaidi ya kuchabo za watoto wakiogeswha.siku nilipoona ya mkubwa honest zinasura mbaya lakni tamu nayale manywele nikazani kuna head ya mtoto bado kidogo nitimke.
 
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?

Celibacy mbona ni possible, hasa wahindi wanaamini inakupa nguvu za kiroho zaidi na unakua na psychic powers.uwezo mkubwa wa kiroho na kutabiri mambo yajayo. Ni uamuzi tu. Hata zaidi ya hiyo miaka mitatu inawezekana.
 
100% inawezekana! kwani hicho ni chakula au oxygen kwamba ukikosa ndo down! u cn take dat!
 
Kweli jamani tuwe wakweli!Miaka 3 ni sawa na siku 1095. Wakuu ivi kweli inawezekana hii kitu, na kila siku ukipita kitaa unaona vitu tofauti, dah!Mi nadhani its not possible.
Mbona nahisi kama we Walimweusi ni female...wanaume huwa hatuulizi jukwaani maswali kama hayo yenye topic 'Me only'!!!
 
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?

hivi ni vitu ambavyo vinawezekana kabisaaaa, sema inahitaji uamzi mgumu kutoka kwa mtu binafsi . kwa mara ya kwanza baada ya kuacha kufanya mapenzi wakati ulishazoea kufanya utapata wakati mgumu na unaweza ukahisi haiwezekani lakini kadri siku zinavyozidi kwenda utazoea na kuona kitu cha kawaida japo sometimes ubo..ro utakuwa unapata hasiri na kuvimba, unatakiwa usiweke mawazo kwenye ngono na kuacha kungalia picha za ngono na vingine vinavyofanana na hivo, nilishafanya hivyo nikafanikiwa japo awali nilikuwa naona week moja kama mwaka bila kupiga kitu!
 
Jamani kuna mwanaume anauwezo wa kutofanya mapenzi kwa MIAKA 3? Mtu huyu hana tatizo lolote, yuko fit kabisaaa!Eti anakuwa anajizuia apatapo hamu ya kufanya tendo?Je inawezekana?

hata zaidi ya mitatu inawezekana. kumbuka mapenzi ni hisia na zinatawalika. ukishindwa kutawala hisia zako unakuwa mtumwa. ukizitawala kila kitu kinawezekana.
 
Back
Top Bottom