MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
13 mega pixel ulizingua bwana braza, yaanin unaogopa wanawake hivyo ???
Siku nyingine ukikutwa hivyo wala usijistukie kabisa, hawezi kukuua wala kukufanya lolote zaidi ya kulalamika tu.
Atakuchukia siku mbili hivi lakini kesho yataisha tu,........