Sifa zooote hizo halafu unahonga bukuMrefu, macho makubwa, kifua cha wastani, mweupe, lips nene kidogo zenye kuvutia, mzigo wa haja, sauti ndogo ya mahaba, akitembea atingishike nyuma, hips za wastani, tumbo dogo lisiwe la mchemsho, miguu midogo, nywele za asili ndefu kidogo,mat*ko ya duara yasiwe kama mapapai ya njombe, awe anajua kudeka, mwenye aibu kidogo n.k. Ndo maana sina mademu wengu, niko too selective wakuu..
huwa namfanyia ushushushu kidogo mkuu..japokuwa kuna changamoto zakeivi tabia unazisomaje binadamu walivyo pretenders? au unafanya top reading
Sijambo tu sijui weweHaujambo?
Wanaume tunajidanganya na appearance sana. Maana, baada ya muda ukiongea na yule uliye muona meeehhhh anakuwa Beyonce.Huu uzi ni special kwa men tu hivyo kama wewe ni girl pita mbali kwa speen ya jet. Girls unaruhusiwa kusoma lakini si kuchangia.
Baada ya kutoa utangulizi.Mambo vipi wanaume wenzangu.Husika kichwa tajwa hapo juu,Ni kweli tunakutana na changamoto mbaimbali kabla ya kupiga moyo konde kwenda kurusha ndoana bahari ili uvuwe samaki.Kabla ya kunyanyua hatua hata moja kwende kutema sumu vichwani kunakuwa na mgongano mkubwa wa mawazo.Wazo linaloshinda huwa ndo mwamuzi wa mwisho yaani kwenda kutongoza ama laaa.
Sasa kabla ya chochote kuanza tuambiane hapa huwa unazingatia vigezo gani hadi umtongoze.Najuwa tunatofautiana interest lakini kubadiliahana uzoefu sio zambi.Noted;,Wengi wetu vigezo vinatusumbuwa so ukifunguka basi funguka kutoka moyoni.
Karibuni
Ulimkosa vipi mkuu,kama ulim feel ungemwambia all truph about you're feelings for herWanaume tunajidanganya na appearance sana. Maana, baada ya muda ukiongea na yule uliye muona meeehhhh anakuwa Beyonce.
A few years ago I met this girl. Kwa first sight sikumuona mkali. Since vigezo vuangu vyote hakuwa navyo, vilikuwa opposite. Mwezi uliopita nimekutana nae. Nitaongea na kwa muda mrefu, nikarealise kweli appearance sio Kila kitu. All my girls, walikuwa wakiniona na bible au naongelea mambo ya Mungu wananiona miyeyusho, ila huyu ndio ananisupport.
She is dark skinned(sipendagi wanao fanana na mimi[emoji3] ) but huyu weusi wake umeenda Cambridge university. Anashape ya Kitusi. Duhhhhh, mach makubwa, maringo ya maana. Tena muhimu ni kwamba she is very bright, form six alipiga div 1 ya mfano. Chuo anasomea course ya maana. Naona future ya ukweli.
Vigezo vyangu:
Light skinned
Figure 8
Long natural hair
Nice nails
Educated
Respectful
Feminine
This girl changed my views. Anyway nisingekuwa na girlfriend I would date her anyway. Basi tu, ndo nimemkosa.
Mwisho wa siku, kila mwanamke ni mkali, unahitaji muda tu.
-callmeGhost