MEN TALKS; unaangalia vigezo gani kabla kutongoza.

MEN TALKS; unaangalia vigezo gani kabla kutongoza.

Usafi , Umbo Asiwe Bonge Response,+ Kando , Kando-michepuko Iwe -
 
1. Attractive face
2.Shape
Asiwe mnene wala asiwe mwembamba. Awe na nyamanyama.
3. White coloured/ Maji ya kunde

Hapa, Mtoto lazima nihamasike kumtongoza.
 
First of all sura kwanza then tabia. Nasema hivi kwa sababu huwezi kumtongoza demu usiemjua kwa kuangalia tabia but naanza kutongoza kwa kuangalia sura na baada ya kummiliki ndo seek for her behaviour
 
Asiwe mropokaji ropokaji. Chura la wastani
 
Mrefu, macho makubwa, kifua cha wastani, mweupe, lips nene kidogo zenye kuvutia, mzigo wa haja, sauti ndogo ya mahaba, akitembea atingishike nyuma, hips za wastani, tumbo dogo lisiwe la mchemsho, miguu midogo, nywele za asili ndefu kidogo,mat*ko ya duara yasiwe kama mapapai ya njombe, awe anajua kudeka, mwenye aibu kidogo n.k. Ndo maana sina mademu wengu, niko too selective wakuu..
Sifa zooote hizo halafu unahonga buku
 
Msambwanda ndio ugonjwa wangu aisee...alafu akiwa mweusi ndio napenda zaidi
 
Kimbaumbau,msafi,Upole km anaongea sn siwezi kuchukua namba..na pili amevaaje na amejirembaje..kama anakope bandia au wigi la bluu au anakucha za bandia au tight bila shati ndefu hadi magotini...basi huyo sitaki hata namba yake ingawa naweza kuwa nae ila si zaidi ya week 2......awe simple,asiwe anacheka ovyo bora kutabasamu,mpole basi angalau sura ya kipole....sasa kabla sijachukua namba tukiwa tunapiga story napima uwezo wake wa kufikiri si lzm uwe na akili sana ila angalau uwe tu na elimu dunia sio mbumbumbu kbs ...akipita kwenye chujio hilo najua naweza kuchukua namba ya simu vinginevyo sichukui hata namba
 
Natongoza just 4 fun so sina vigezo vyovyote by nw
Labda ntapokuwa natafuta mke ndo ntaweka vigezo

But nw nkijiskia 2 natongoza
 
Muonekano, amevaaje, sauti ya upole hapo lazima nitangaze nia ila kma kakosa kimoja wapo kati ya hivyo anapita kulia napita kushoto
 
Demu nziri kwa sura umbile na tabia nzuri awe na huruma sio kisirani muda wote uso na sura kakunja
 
  • Thanks
Reactions: BAK
awe mpole kama mm awe na umbo zuri na sura nzur pia.awe na rangi ya black kwa mbaaaaali.hapo ndio nakufa kabisa mm.

joanah
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Muonekano wake (alivyoumbika) pia uvaaji wake. Tabia nitakuja kuijua baadaye baada ya kuanza mawasiliano.
 
Huu uzi ni special kwa men tu hivyo kama wewe ni girl pita mbali kwa speen ya jet. Girls unaruhusiwa kusoma lakini si kuchangia.

Baada ya kutoa utangulizi.Mambo vipi wanaume wenzangu.Husika kichwa tajwa hapo juu,Ni kweli tunakutana na changamoto mbaimbali kabla ya kupiga moyo konde kwenda kurusha ndoana bahari ili uvuwe samaki.Kabla ya kunyanyua hatua hata moja kwende kutema sumu vichwani kunakuwa na mgongano mkubwa wa mawazo.Wazo linaloshinda huwa ndo mwamuzi wa mwisho yaani kwenda kutongoza ama laaa.

Sasa kabla ya chochote kuanza tuambiane hapa huwa unazingatia vigezo gani hadi umtongoze.Najuwa tunatofautiana interest lakini kubadiliahana uzoefu sio zambi.Noted;,Wengi wetu vigezo vinatusumbuwa so ukifunguka basi funguka kutoka moyoni.
Karibuni
Wanaume tunajidanganya na appearance sana. Maana, baada ya muda ukiongea na yule uliye muona meeehhhh anakuwa Beyonce.

A few years ago I met this girl. Kwa first sight sikumuona mkali. Since vigezo vuangu vyote hakuwa navyo, vilikuwa opposite. Mwezi uliopita nimekutana nae. Nitaongea na kwa muda mrefu, nikarealise kweli appearance sio Kila kitu. All my girls, walikuwa wakiniona na bible au naongelea mambo ya Mungu wananiona miyeyusho, ila huyu ndio ananisupport.

She is dark skinned(sipendagi wanao fanana na mimi[emoji3] ) but huyu weusi wake umeenda Cambridge university. Anashape ya Kitusi. Duhhhhh, mach makubwa, maringo ya maana. Tena muhimu ni kwamba she is very bright, form six alipiga div 1 ya mfano. Chuo anasomea course ya maana. Naona future ya ukweli.

Vigezo vyangu:
Light skinned
Figure 8
Long natural hair
Nice nails
Educated
Respectful
Feminine

This girl changed my views. Anyway nisingekuwa na girlfriend I would date her anyway. Basi tu, ndo nimemkosa.

Mwisho wa siku, kila mwanamke ni mkali, unahitaji muda tu.

-callmeGhost
 
Hawa wenye sura na makalio nilipambana nao nikiamini ndio ishu kumbeee ushuzi mtupuuuuu,sasa nahitajia ambaye yki vzur kiuchumi n a kiakili kwa kifupi awe anajua kufanya maisha
 
Wanaume tunajidanganya na appearance sana. Maana, baada ya muda ukiongea na yule uliye muona meeehhhh anakuwa Beyonce.

A few years ago I met this girl. Kwa first sight sikumuona mkali. Since vigezo vuangu vyote hakuwa navyo, vilikuwa opposite. Mwezi uliopita nimekutana nae. Nitaongea na kwa muda mrefu, nikarealise kweli appearance sio Kila kitu. All my girls, walikuwa wakiniona na bible au naongelea mambo ya Mungu wananiona miyeyusho, ila huyu ndio ananisupport.

She is dark skinned(sipendagi wanao fanana na mimi[emoji3] ) but huyu weusi wake umeenda Cambridge university. Anashape ya Kitusi. Duhhhhh, mach makubwa, maringo ya maana. Tena muhimu ni kwamba she is very bright, form six alipiga div 1 ya mfano. Chuo anasomea course ya maana. Naona future ya ukweli.

Vigezo vyangu:
Light skinned
Figure 8
Long natural hair
Nice nails
Educated
Respectful
Feminine

This girl changed my views. Anyway nisingekuwa na girlfriend I would date her anyway. Basi tu, ndo nimemkosa.

Mwisho wa siku, kila mwanamke ni mkali, unahitaji muda tu.

-callmeGhost
Ulimkosa vipi mkuu,kama ulim feel ungemwambia all truph about you're feelings for her
 
Awe mweusi,asiwe mlembo awe chini ya ulembo,
Sipendi mwanamke mkienda kitandani anakwambia subiri kwanza nifunge nywere zangu ili zisivurugike .

Pia asiwe muongeaji saana kwenye watu wengi.

Awe na miguu minene na matege kwa mbaali.
Hahahahahahahahahaha.......
 
Back
Top Bottom