Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
- Thread starter
-
- #41
For the first time unakutana na mtoto mkali maybe stand ya bus unaweza kujua about uchumi wake.Mi nadhani kwa Mara ya kwanza we focused on appearanceHawa wenye sura na makalio nilipambana nao nikiamini ndio ishu kumbeee ushuzi mtupuuuuu,sasa nahitajia ambaye yki vzur kiuchumi n a kiakili kwa kifupi awe anajua kufanya maisha
Tabia kwa siku ya kwanza ni ngumu kuijuwaDemu nziri kwa sura umbile na tabia nzuri awe na huruma sio kisirani muda wote uso na sura kakunja