MEN TALKS; unaangalia vigezo gani kabla kutongoza.

MEN TALKS; unaangalia vigezo gani kabla kutongoza.

Hawa wenye sura na makalio nilipambana nao nikiamini ndio ishu kumbeee ushuzi mtupuuuuu,sasa nahitajia ambaye yki vzur kiuchumi n a kiakili kwa kifupi awe anajua kufanya maisha
For the first time unakutana na mtoto mkali maybe stand ya bus unaweza kujua about uchumi wake.Mi nadhani kwa Mara ya kwanza we focused on appearance
 
Kwa upande wa tabia ni ngumu Ku catch kwa mara ya kwanza.Am talking about siku ya kwanza kumuona mrembo unaangalia vigezo gani hadi unaenda kumpa sound. Kwa upande wangu tabia huwa ni kigezo cha mwisho kabisa na hii huwa naanza Ku note katika first date
 
Kwangu mimi naangalia demu ambaye hata akiniudhi nikimwangalia usoni tu naanza kufurahi kama nimeshinda biko
 
Inategemea unatongoza kwa dhumuni gani maana kuna kutongoza ili uingie kwenye mahusiano hasa ya muda mrefu kama sio kudumu kabisa na kuna ile kutongoza sababu tu unataka mtu mpya wa kupunguzia kilo!
 
Back
Top Bottom