Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Lugha ya kichwa cha uzi inanasibu...
Leo nilikuwa kwenye kijiwe changu cha kustaafia, Kasinde Juice Shop.
Akaja mdada mmoja nikawa nachukua ladha za matunda anayotaka nimsagie juice....
Kumbe alikuwa na mume wake, alikuwa amesimama kwa mbali nyuma. Kabla hajasogea mahala nilipo na mkewe akiwa kule nyuma alijaribu kuonesha lugha ya picha kama kunisemesha kwa codes huku mkewe akiwa amempa mgongo.
Nikampiga jicho paap nikarudi kukonsetreti na oda ya mteja wangu ambae ni mkewe. Nikainua tena jicho naona macho yake na mikono vinanisemesha....
Siku respond chochote, nikageuka kutengeneza juice na ilipokuwa tayari nikampa mkewe. Wakati nampa, ilikuwa take away akaja. Akanisalimia kwa bashasha na kuanza kujisemesha...
Huyu ni mke wangu, ndo waziri wa mambo ya ndani wangu, sifurukuti kwake. Akisema leo hutoki natii, akisema usalama mdogo tutoke hapa natii.....!
Nikatabasamu na kumwambia am happy for you, you have a cute and humble wife.
Kisha nikawatakia weekend njema na nikaendelea na wateja wengine.
Men....!
Hat and pen down.
Picha za uzi kesho. ☺️
Kesho yw jana ndo leo...☺️.