Men Will Always Be Men...

Men Will Always Be Men...

Lugha ya kichwa cha uzi inanasibu...

Leo nilikuwa kwenye kijiwe changu cha kustaafia, Kasinde Juice Shop.

Akaja mdada mmoja nikawa nachukua ladha za matunda anayotaka nimsagie juice....

Kumbe alikuwa na mume wake, alikuwa amesimama kwa mbali nyuma. Kabla hajasogea mahala nilipo na mkewe akiwa kule nyuma alijaribu kuonesha lugha ya picha kama kunisemesha kwa codes huku mkewe akiwa amempa mgongo.

Nikampiga jicho paap nikarudi kukonsetreti na oda ya mteja wangu ambae ni mkewe. Nikainua tena jicho naona macho yake na mikono vinanisemesha....

Siku respond chochote, nikageuka kutengeneza juice na ilipokuwa tayari nikampa mkewe. Wakati nampa, ilikuwa take away akaja. Akanisalimia kwa bashasha na kuanza kujisemesha...

Huyu ni mke wangu, ndo waziri wa mambo ya ndani wangu, sifurukuti kwake. Akisema leo hutoki natii, akisema usalama mdogo tutoke hapa natii.....!

Nikatabasamu na kumwambia am happy for you, you have a cute and humble wife.

Kisha nikawatakia weekend njema na nikaendelea na wateja wengine.

Men....!

Hat and pen down.

Picha za uzi kesho. ☺️

View attachment 2033106

Kesho yw jana ndo leo...☺️.
Kasindeee nimekumisi hatar nimelejea kasinde mahaba matata
 
Kasieee mahaba matata kama naota kukukuta jf tenha
 
Exactly, the point of chasing the married man with those words.

Well that’s what fills his mind.

Can’t change him.

Oh! Words can chase married man?

Naomba niandalie smoothie hapo ya tende, maziwa na ndizi.
 
Yeah

We are here and there to complete missions tough and easy, crazy and serious!
 
Chief, you can't differentiate love and like?

Iko hivi, kama kuna mke wa mtu ananisumbua tuwe nae kwa mahusiano na sitaki hilo jambo, naweza kumwambia nampenda zaidi mme wake kuliko yeye. Hapo haimaanishi nampenda mme wake tuwe nae kwa mahusiano, la hasha. Namaanisha namtakia mema na sitaki kuharibu furaha na amani yake, sioni ni jambo zuri kumjeruhi kwa kukubali kuwa na mke wake, huo si ni upendo?

Sijajua kwanini unataka kuhusisha kila upendo na mapenzi.

Sio kila upendo ni mapenzi lakini huwezi kupinga kuna upendo wa mapenzi, sasa inatakiwa the line of demarcation to be drawn in between to distinguish the two---- which is which, and every body has his/her own line of demarcation and that's where the saga starts.
 
According to the statement in subject, what is your issue? In the story context, especially the one you quoted.
 
The contest is; I smell lesbianism in it, it stinks the smell of immorally in the very beginning.
 
Chief, you can smell any thing, it depends more on your interpretation! I viewed it differently. And if I have to be honest, lesbianism didn't emerge in my interpretation.
 
Nisamehe ila naomba nirekebishe kauli yako kwa nia njema tuu na wala si majivuni.

Ukija kijiwe changu uje kwa nia ya kupata huduma ya Juice asilia na si kuniungisha.

Kijiwe kiko njia ya kwenda Chuo kikuu.

Karibu sana.
Chuo gan bibi? Huenda nakujaga hapo [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Chief, you can't differentiate love and like?

Iko hivi, kama kuna mke wa mtu ananisumbua tuwe nae kwa mahusiano na sitaki hilo jambo, naweza kumwambia nampenda zaidi mme wake kuliko yeye. Hapo haimaanishi nampenda mme wake tuwe nae kwa mahusiano, la hasha. Namaanisha namtakia mema na sitaki kuharibu furaha na amani yake, sioni ni jambo zuri kumjeruhi kwa kukubali kuwa na mke wake, huo si ni upendo?

Sijajua kwanini unataka kuhusisha kila upendo na mapenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa Bongo hii, utaanza kuimbiwa ngonjera lol.
Hiyo kwa huko ughaibuni, sio huku, ila kwa wanawake ina apply hata huku.
 
Inshort anatuambia jamaa kauwa ndege wawili pamoja
Yani kacontrol situation bila kuharibu kitu
Waziri anajifeel safe na muuza juice anamezea mate kutokana na code alizopata bila waziri kujua kinachoendelea
 
Oh! Words can chase married man?

Naomba niandalie smoothie hapo ya tende, maziwa na ndizi.

Ndiooo, tena nikiwa na uso mkavuu namchase away a married man with my own words....

Order iko tayari, waweza ipitia.

Karibuu 😊.
 
Shukria!

Kenge wewe, ntaipitia iweke kwenye jokofu ipate ubaridi maridhawa.

Ujuwe kuna storage fee....😅

Charged per hour, order ikiwa tayari inatakiwa ichukuliwe....

Kengeee menyeweeee 😆😆
 
Tatizo nikija nikaanza kuonyesha ishara utasema waziri mkuu anakutilia wivu.
Huku kimoyo moyo nasema, " lote lako hilo?"

Kwa hiyo ntapitia nikiwa mwenyewe. Fee ntalipia tu.
 
Back
Top Bottom