Men will always be men

Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi.

50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna.
Labda ni huko Beijing china😁😁
Unatumia kinywaji gani chenye kileo 😇😇😇🥂🍺🍸🥃🍷
 
Mwanaume ni lazima abaki kuwa mwanaume…hili halina ubishi.

50/50 kwa mwanamke na mwanaume hakuna.
Labda ni huko Beijing china😁😁
Mkuu effects za beijing zipo, kwa sasa mwananke anaye manage familia haamini kuwa hiyo ni kazi, hata kama familia inao members 20 wakiwemo na watoto wadogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…