Mende anaogopesha jamani, acha tu...

Mende anaogopesha jamani, acha tu...

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Leo mida flani nilikua kazini ghafla nikaskia haja yani hadi nikahisi naweza Jinyea leo

Nikakimbia choo cha ofisini RRRRR nasukuma ndani mtu akakohoa

Nikasema leo ndio leo Nafwaaa

Haya toka speeeed sana hadi nnje vuka barabara kuna LODGE opposite nikaenda straight

Maana najua vyoo vya hapo vilipo

Kufika sukuma mlango Umefungwa shika kitasa kigumu

Mdada mmoja akaniambia "Mlango umefungwa kaka" kachukue funguo kaunta

Naenda kaunta sikuti mtu aiseeeeeeeeeee (acheni kabisa bandugu)

Kimbia kimbia zile nikaponea Choo cha BAR moja hivi ipo kule mbele mbele

Kadri ninavyokaribia chooni ndio huku nyuma mzigo kama unasukumwa uje mzima mzima

Nashukuru mungu kufika eneo la tukio (chooni) nikakuta pako wazi nikazama funga mlango chuchumaaa (nikawa napata burdaniiiiii)

Nikiwa kwenye starehe yangu si akatokea mshua MENDE sijui alitokea wapi nikamsikia anapanda kwenye vidole daaaah

Si unajua nilivaa sendo Nikaskia kitu kinapita kwenye vidole vya miguuu,Kucheki hivi Kiruuuuu Jamaaa bonge la MENDEEE

asee niliruka juuuu nikasema kama noma na iwe noma Huyu mende sio wa kawaida

Basi nkachukua mop nikampga akakufa,nikarudi kuburudika

Mende acheni jamani...mwaka 2019 nadhani leo ndio namuona mende tangu mwaka uanze

anatisha kabisa,siwacheki tena wale wakuitwa Wanaume wa DAR

Halafu utasikia mtu anasema hawa wadudu wanaliwa watamuuuu...AAAAAH nife njaaa tu kwakweli
Dx7k5jAWwAIajr-.jpg
 
kweli wanaume tumebaki wachache tanzania!!!
Tatizo yule mende alikua mkubwa kinoma noma mkuu

Hata wewe yawezekana unemwona ungetoa ndukiii kama Tozi
 
Kwakweli mende naogopa hata kumuua yasije yakanirukia yale mausaha yake [emoji21]

Hata kumwangalia tu sipendi!

Lilivyo na mafuta na linavyometameta sasa
 
aisee bora umewahi kumuua huyo alikuwa anaelekea hapo haja kubwa inapotokea
 
Ukanyanyuka hivyo hivyo na gogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Muda wa kukumbuka kama nilikua nakata gogo ulikuwepo sasa Mkuu,

Nilijikuta tu nshasimama nipo kule mlangoni
 
Back
Top Bottom