Mende anaogopesha jamani, acha tu...

Mende anaogopesha jamani, acha tu...

[QU
0OTE="CONTROLA, post: 32968409, member: 567367"]
anao hadi kesho
hawa viumbe sio kwamba nawaogopa ila ni sababu ni wachafu
Hapo tu ndio wanaponichefua
[/QUOTE]
000000Hapo kwenye uchafu hata mimi wananichefua mno
anao hadi kesho

hawa viumbe sio kwamba nawaogopa ila ni sababu ni wachafu

Hapo tu ndio wanaponichefua
Sio wewe pekee kwenye kinyaa tupo wengi,huwa sipendi kula kwa watu sababu ni hii
 
hujamkuta akikupandia wewe mkuu

Nakwambia lazima uruke

Simpendi ila simuogopi hata kidogo.

Shambani kwangu kuna siku tuliua nyoka wa tatu kwa siku. Mmoja nilimuua mwenyewe hakuwa mdogo wala mkubwa sana na alikua haruki.
 
Kuna wadudu sijui waliumbwa ili iweje kwakweli sijui
 
.
tapatalk_1577093906393.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom