Mende ni chiboko

Wakutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
249
Reaction score
173
Unajua MENDE tunamchukulia poa poa tu ila yule mshikaji ni bonge la mdudu yan,MENDE ndo mdudu pekee anayeweza kusavaivu katika bomu la nyukilia "nuclear"....Yan likitwangwa nuclear bomb hapa viumbe vyote tunarest in peace ila bwana mkubwa mende ye anapiga miruzi tuu...Kingine mchukue mende muweke katika "Microwave" then washa hata ikiwa lisaa lizima then fungua,utamkuta bwana mkubwa mende anapiga miruzi tu tena anakushukuru kwa kumuweka katika kagheto kazuri.....Daaah jamani mende nyinyi sijui ana nini yule jamaa alafu ukimuona we unamchukulia poa tu kumbe ye anakuchekiiii anakudharau tu.
 
hahahaha, du kweli kwa microwave hapo naamini, nilishakumbana na mende kwa macrowave nikaliwasha nikategemea atakufa nafungua wala ndo anavinjari kila kona ya ndani wakati maji yalikuwa ya moto nilishindwa hata kutoa kikombe, sasa sijui kuna siri gani
 
hahahaahhaah ukweli ulio letwa kupitia sanaa ya vichekesho
 
na sisi tunaotumia vyoo vya kulenga hawa wadudu wanafaidi sana maana wanaiona tuzi mubashara...
 
Hata mimi nimeiona sehemu fulani, ninapokunywa chai nikiwa kwa jobu, ila siku zingatia.
 
Kinginefikiria anaeweza kukaa ktk shimo la choo licha ya joto na pressure ya mule ndani lakini mende ndo maeneo yake
 
Kinginefikiria anaeweza kukaa ktk shimo la choo licha ya joto na pressure ya mule ndani lakini mende ndo maeneo yake
na kweli chooni tena ndo sehemu anayofurahia na kutaga mayai yake bukheri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…