Wakutu
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 249
- 173
Unajua MENDE tunamchukulia poa poa tu ila yule mshikaji ni bonge la mdudu yan,MENDE ndo mdudu pekee anayeweza kusavaivu katika bomu la nyukilia "nuclear"....Yan likitwangwa nuclear bomb hapa viumbe vyote tunarest in peace ila bwana mkubwa mende ye anapiga miruzi tuu...Kingine mchukue mende muweke katika "Microwave" then washa hata ikiwa lisaa lizima then fungua,utamkuta bwana mkubwa mende anapiga miruzi tu tena anakushukuru kwa kumuweka katika kagheto kazuri.....Daaah jamani mende nyinyi sijui ana nini yule jamaa alafu ukimuona we unamchukulia poa tu kumbe ye anakuchekiiii anakudharau tu.