Mene, Mene, Tekeli na Peresi": Maandishi Ukutani Kuhusu Nyufa na Ugomvi wa Ndani ya CCM

Mimi ni mwana CCM wa siku nyingi , lakini sasa hivi CCM ni chama cha maslahi binafsi.
Chama ambacho sasa ni sehemu ya dola.
Hata ndani ya CCM hakuna demokrasia.
Sasa swali linakuwa, wewe na wengi wengine wa aina yako ni wanaCCM wa aina gani iwapo chama chenu kimeporwa; lakini mnaendelea kujitambulisha kuwa nyinyi ni wanaCCM; CCM ipi?
 
Sio Mimi ni waoπŸ˜‚
Lengo la jibu lilikuwa kwa huyo aliyebuni maneno hayo, siyo aliyeyafikisha hapa.

Naona kuna watu wanajipambanua kuwa "@ClubMagufuli", hivi hawa nao wanaweza kudai kuwa bado wapo hai, hawakufa na huyo huyo Magufuli?
 
Sasa swali linakuwa, wewe na wengi wengine wa aina yako ni wanaCCM wa aina gani iwapo chama chenu kimeporwa; lakini mnaendelea kujitambulisha kuwa nyinyi ni wanaCCM; CCM ipi?
CCM ya Mwalimu.
Waliokipora watakirudisha wenyewe.
 
CCM ya Mwalimu.
Waliokipora watakirudisha wenyewe.
Kukirudisha wenyewe, hilo sahau kabisa.

Mkiitaka ile CCM, itabidi mvuje jasho la damu kwelikweli.

Kwanza mtampata wapi kiongozi wa 'calibre' ya Mwalimu?

Hii ni ndoto isiyowezekana.
 

paschal Mayala
 

Pascal Mayalla Yana ukweli haya
 
Mtu anasema huko katika CCM,Samia na Nchimbi hawapatani.
Anataka tu discuss hili jambo.
We cannot discuss it kwa sababu hatujui kama anasema kweli au uongo.

Huyu Bakari Kazungu labda anaweza kufahamu kwa sababu yupo CCM.

Halafu hao watu wasiojulikana,wanakukamata halafu wanakuahia,halafu wakati mwingine wanakupangia maneno ya kusema.

Samia na Nchimbi hawapatani.
Hawapatani vipi?
Yaani, wakikutukana wanabishana,

Au wakiwa mbali kila mmoja anamsema vibaya mwenzake?
Kwa wanapingana mawazo hayo ndiyo mambo ya kujadiliwa katika vikao.
 
Toka 2024 mnasemaga haya haya na Sasa tunaelekea 2028

Hakuna Cha nabii ,mtabiri Wala mtume πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata mafirauni walisema kama wewe
Wengine walisemaga hamalizi miaka 3 wameoyeshwa ,kikonwapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni hivi kama nature haijakuchagua kuwa Rais utaishia ulipo bila kujalisha sarakasi zako,struggles zako au anything nadhani unajua sheria za ulimwengu wa roho.

SSH atamaliza ingwe yake na atakabidhi Kwa mwingine 2030.

Nyie wengine endeleeni na hat emotions, wishful thinking na ramli.
 
teHE teHE teHE teHE TEhe TEhe TEhe tEhEEEEEEEEE!

Pale nyumbu anapotamani ndoto zake za kichawi ziwe kweli........mtasubiri sana nyumbus.
 
Mchawi (Giza) kazini..........fine, halitowahi kuushinda mwanga.
 
Sasa chuki na makamu inatoka wapi?

Kada wa CCM aliyeripoti kutekwa na kuteswa azungumza- 'Walinilazimisha nimtukane Makamu wa Rais'

Kada wa CCM, Kazungu Bakari Kazungu ameeleza kuwa watekaji waliomchukua maeneo anapokaa huko mkoani Tanga, mnamo Agosti 04, 2026, walimhoji juu ya video zake huku wakimshurutisha kumtukana Makamu wa Rais.

Kazungu pia ameeleza watu hao walimtaka atoe list, wakimhusisha na kuhusika kupanga maandamano. Jambo ambalo Kazungu ameeleza hakua analifahamu.

Kazungu amekuwa ni moja ya wanachama wa CCM, waliojizolea umaarufu mtandaoni kwa video zao za uchambuzi wa masuala ya kisiasa, kwa mrengo wa chama chake.

Video zinazomuonesha Kazungu akiwa ameumia vikali zilisambaa mtandaoni mnamo Agosti 07, 2026, pamoja na taarifa ya yeye kutekwa, jambo liloibua mjadala mkali.

Polisi wameeleza kuwa wanachunguza tukio hilo.

#TanzaniaIsNOTSafe #inforcedisapperances #ExtraJudicialKillings #FreeTunduLissuNow
#KatibaMpya

HUYU HAPA


https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19EjCYLRPz/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…