Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

Nyie mnafikaga wapi?

mbona kuna kolo mwenzio anasema eti shibubu ndio mrithi wa chama
sisi tuna mechi tunayosubiri ya kimataifa tuambie nye kimataifa mnasubiri kucheza na Nani? Naomba ratiba zenu za kimataifa
 
sisi tuna mechi tunayosubiri ya kimataifa tuambie nye kimataifa mnasubiri kucheza na Nani? Naomba ratiba zenu za kimataifa
Wanacheza na Mirinda nyeusi[emoji16]
 
Tukija kwenye ukweli hamna club yenye scouting kama yanga bongo Anza kwa job,fei, yassin, chibada hadi kina kagere
Fei Toto alisajiliwa na Singida utd,hamkuwa na FaRaNgA za kumsajili Fri,Bali mfia timu yenu aliwapa,Ni wapi mlimfanyia scouting Fei, achana na blaablaaa.
 
ongezea akina sarpong, sibomana, bigirimana, yikpe, kindoki, bila kumsahau fiston abdulrazak
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wamesahau Juma Balinya,walimfanyia scauting na kwa mbwembwe nyingi akaja kutambulishwa kwenye tamasha Lao la KuBwA KuLiKo.Baada ya miezi isiyozidi mitatu.......
 
kalengo mybin, sibomana, ype, molinga, balinya, nchimbi
Tukija kwenye ukweli hamna club yenye scouting kama yanga bongo Anza kwa job,fei, yassin, chibada hadi kina kagere
 
haka kajamaa tumelamba dume! maneno ya shombo tupu...uto watapata tabu sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…