Meneja(Babu tale/ Mkubwa fela) na msanii nani (Diamond) nani Genius?

Meneja(Babu tale/ Mkubwa fela) na msanii nani (Diamond) nani Genius?

Diamond katoboa kwa jitihada zake binafsi labda na msaada kidogo wa Sallam hasa kwa exposure ya kimataifa.

Hao kina Fella na Tale ni makupe tu waliopewa majukumu. Ingekuwa wana mmanage Diamond kama ma manager tungeshamsahau kitambo sana.
 
Diamond has been made a better man by Freemasonry ( not better in terms of money but Character).
 
Hata Carlo Ancelotti alifundisha Tottenham hakuchukua hata Community shield, lakini anabeba makombe mengine na Real Madrid. Kwahiyo meneja kufanikiwa popote inategemea na program na progress.
Maana hata Jay Z, katoa wasanii wengi lakini waliofikia kwenye level ya mafanikio ni Kanye na Rihanna. Sasa ku fail kwa Madee sio kosa la Tale
punguza pressure mkuu.
 
Back
Top Bottom