Meneja Babu Tale!

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Wadau leo namzungumzia huyu mtu anaitwa Babu Tale, amekuwa akijichukulia sifa kwa madai kwamba ndo anayewapeleka artists kwenye next lever na kwamba ndo sababu za almasi kuwa juu kwa jitihada za huyu.

Haya kwanza nachoshindwa kuelewa huyu Diamond kampeleka next leve alikuwa tayari yuko juu au amemtoa kwenye mbagala? Maana alikuwa wapi huyu mtu?

Na amekuwa akijichukulia sifa kwamba ndiye aliyemweka dogo juu, how? nahisi hii ni project ya wawingu kumweka huyu mtu sawa akiwafisadi wasanii kwa niaba.

Jamaa nachojua mimi mazense haijawai kupata mafaniniko yoyote ya kujiweka kwenye nafasi anayojiweka, jamaa ana deal kiswahili swahili sana, jamaa kajiweka in a way kwamba bila yeye msanii hatoki nyimbo zake hazipigwi na huyu mtu akisema diamond perfome basi dogo hafanyi kitu kwa style hizi sanaa yetu itafika kweli?
 
why should I Google if you know what happened u jus tell me..... ..

ni ile ishu ya gari??

kuna kipindi papaa alimwaga ubuyu hadharan kwamba diamond alikua nae kwa mganga na ndo alimfanya afanikie kitu ambacho diamond alikataa katakata.. kumbuka kipindi hicho track ya kamwambie ilishatoka ikawa mbagala + nimpende nani.. na wakat huo management yake iliitwa "aljazera" check video ya kamwambie utaona neno hilo. pia ilshatokea kashfa kwamba papaa alitaka kutoka na bimdanga wa diamond.. ntaiweka link ya habari utaona
 

.aiseee....
 
wao ndo wanajua kila kitu kama walikua pamoja au vp.
 

dah aisee sasa papaa alianzaje kusema ya kwa mganga. ilibidi atulie tu. yale yale ukikosana na mumeo unaanza kusema ana kibamia muda wote hukioni.....

ukipata link nipe pia
 
Ni shida aisee kwa hyo bada ya kutoa siri ya mganga wakamwagana hatar sana uganga mbaya
 
ss uyo uyo daimond anajua mchango wake..maana ktk watu wakuwashkr babu tale hua hakosi.. nadhan labda umulaum mhuska daimond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…