Meneja Babu Tale!

Meneja Babu Tale!

Mi naomba kuuliza, kwani Clouz ndiyo radio pekee nchini? Kwani ukipigiwa nyimbo na clouz ndio unatoka? Mbona msanii kama Mo-music wa "Basi nenda" ametoka tu japo wimbo wake haujapigwa sana na clouz maana kizuri ni kizuri tu kama msanii ukiwa na wimbo mkali sidhani kama utaacha kutoka, mbona Samir nyimbo yake ilivuma kwa njia ya blutooth za simu bila clouz na leo ni msanii mkubwa tu..?!

mainstream ya muziki bongo omeshikiliwa na clouds madia sema ukionesha kipsji wenyewe watakutafuta....samir angekuwa na meneja mzuri sa IV angekuwa na hela nyingi Sana maana alichelewa kuingia mainstream lkn still alikuwa anashine na hichi ndyo ninachokizungumzia kwa wasanii WA bongoflava wasilie silie kutengwa waoneshe uwezo na cyo kujipendekeza kwa ruge kutia Tia huruma wamuige ay ambaye ameona mainstream ya bongo mpk uwalilie watu kaamua kuinvest nje ,... nowdays hawa wanaojiita wadau wanamtafuta wenyewe
 
Acha ujinga

Kama hujui ni bora ukae kimya,angalia hapo chini
jk.jpg

Sasa kolabo inayonukia sasa hivi ni ya staa wa muziki kutoka Marekani ambae ni Trey Songz ambae taarifa za ndani millardayo.com ilizopata ni kwamba kama kolabo hii ikifanikiwa basi Rais Kikwete atakua ameshiriki kuiunganisha kwa asilimia zaidi ya 90.
Kwenye hii picha President ameonekana akiwa karibu sana na meneja wa Trey Songz na waliongea kwa kirefu, kwa sababu President siku zote anasupport sana Wasanii wake wa Tanzania.
Baada ya Diamond kukutana na Rais kwenye hicho kikao na meneja wa Trey Songz, Diamond alitumia time yake kuandika ya moyoni >>> wapi Utapata Rais ambaye atakubali kutoa muda wake wa thamani ambao unatafutwa karibu na kila mtu Duniani.. akautumia kukusaidia kukukutanisha na kukuconnect na mdau mkubwa duniani katika tasnia uliyopo ili kuhakikisha tu unafikia malengo na ndoto ya kazi zako…. Dah! Asante sana Mh Rais, Mwenyez Mungu akuzidishie na kukusimamia katika uongozi wako na siku zote za Maisha yako‘
 
Jamaa aliyesema tale kibongo bongo anaweza..
Siwezi kataa amethubutu sema kama tunataka muxiki uwende next lever huo uswahili unamwisho..la sivyo tutaiahia hivyo hivyo..
Jamaa kwanza maimuna aka english not reachable..huwa nawaza anaongea nini akisafiri na Diamond nchi zisizoongea swahili..Lugha ya kiingereza pale sifuri anaunga unga tu...ila hapo ndo unaambiwa jamaa ndo kila kitu daaah!

Winnie ni next level
 
Last edited by a moderator:
kuna kipindi papaa alimwaga ubuyu hadharan kwamba diamond alikua nae kwa mganga na ndo alimfanya afanikie kitu ambacho diamond alikataa katakata.. kumbuka kipindi hicho track ya kamwambie ilishatoka ikawa mbagala + nimpende nani.. na wakat huo management yake iliitwa "aljazera" check video ya kamwambie utaona neno hilo. pia ilshatokea kashfa kwamba papaa alitaka kutoka na bimdanga wa diamond.. ntaiweka link ya habari utaona

Nguvu zenyewe anazo au makeke tu
 
Back
Top Bottom